Kampuni ya Rifaro imekuja na mbinu mpya ya biashara katika muda wa maongezi ambapo kila utumiapo muda wa maongezi unalipwa na kila unapomdhamini au mshawsihi mtu ajiunge na mitandao ya tigo, airtel, voda au zantel pia unalipwa, sasa Mungu akupe nini?
![]() |
| Muda mwafaka wakufanya maamuzi ni sasa |
RIFARO AFRICA ni nini?
Rifaro Africa nikampuni mama kutoka Tanzania yenyelengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwakumuingizia KIPATO, kampuni ilipata wazo hilitoka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mweziwa 12. Baada ya taasisi zote muhimu kuipitia nakujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wasimu kwamba uposahihi.
NAMNA YA KUANZA
'R' namba, yaani ni namba ya utambulisho kama mwanachama wa rifaro africa pia nimba inyo tumika kwa udhamini kwa wanachama wapya wanao jiunga. kwa hiyo nawewe baada ya kujiunga hakikisha unahifadhi vizuri kwa ajiri ya udhamini kwa wengine
Hiyo tu inakuwa imetosha wewe kuingia Rifaro na kuanza kupiga kazi yako, usihangaike kupata wadhamini. Udhamini ni BUREE.
MTAJI WA BIASHARA
Kama zilivyo biashara nyingine, hii Rifaro pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128,500/=
UKISHA JIUNGA UTAPEWE VITENDEA KAZI KAMA VIFUATAVYO
1. DVD
2. ATM card(2000/= saliondaniyake)
3.kitabu cha biashara
4. 5000/= salio kama vocha
5. Namba ya mwanachama (R number)
1. DVD
2. ATM card(2000/= saliondaniyake)
3.kitabu cha biashara
4. 5000/= salio kama vocha
5. Namba ya mwanachama (R number)
6. Utapata Website ya Rifaro kama hii hapa bofya linki hiyo.(kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)
MATUMIZIA YA SELCOM CARD AU ATM CARD ZA RIFARO
1. Inatumika kununua na kuuza vocha kwenye mitandao ya simu mbalimbali(Yani VODACOM, TIGO,AIRTEL na ZANTEL)
2. Inatumika kutuma na kupokelea pesa kutoka mitandao ya simu mbalimbali.(mitandao tajwa hapo juu)
3. Inatumika duniani kote palipo na huduma ya selcom
4. Inaweza tumika kulipia bili za umeme, maji na pia kulipia kwenye supermarkets na sheli
5. Inao uwezo wa kupokea na kutoa hela hadi milion 10.

MFUMO
Mfumo wa Rifaro ni mfumo wa Mtandao(network)
Angalia Katika picha hiyo juu wewe ukisha jisajiri na mfumo wa Rifaro ukawadhamini(ukawaunganisha) watu wawili ambao ni K1(kizazi cha kwanza) wao kizazi cha kwanza wakawaunganisha watu wengine watatu na wakaunga K2, wale waa K2 waka washirikisha wengine 6 nakuunda K3
Hivyo vizazi vitaendelea hadi kizazi cha 15 na matandao unazidi kukuwa kwenda chini, Hivyo mwanachama wa Rifaro Africa naruhusiwa kuunganisha/ kutengeneza mtandao mkubwa kadiri awezavyo.
- Vodacom
- Airtel
- Tigo
UNAPATAJE PESA?
AINA ZA KIPATO KATIKA RIFARO AFRICA
AINA ZA KIPATO KATIKA RIFARO AFRICA
KIPATO CHA WIKI
A - Utapata sh 20,000 kwa kila utaye muunganisha kama kizazi chako cha kwanza K1
K1 akiunganisha mwezake (K2)- yeye atapata sh 20,000 nawewe utapata 8000 toka kwa K2 kwasababu bila wewe kumuunga K1, K2 asingepatikana.
K2- itampasa kuendea kutafuta watu wa kuwaunga Kwa hiyo K2 nae ataendelea kunganisha hivyo mtandao unnazidi kukua hadi K15. na kama nilivo sema wewe na watu walio kwenye kizazi cha wanaweza kuunganisha watu wengi kadiri wawezavyo nakujenga nit kubwa itakayo ingiza kipato kisicho na kikomo

MCHANGANUO WA MALIPO
Angalia hapa chini
Angalia hapa chini
Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.
Kizazi 2: 8000/= kwa kila mpya atakaye ingizwa na kizazi chako cha kwanza
Kizazi 3: 5000/= kwa kila mpya atakaye ingizwa na kizazi chako cha pili
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 3: 5000/= kwa kila mpya atakaye ingizwa na kizazi chako cha pili
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7-kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi
KIPATO CHA MWEZI
Hiki ni kipato kinachotokana na matumizi yako ya muda wa hewani kwa kutumia RIFARO pamoja na matumizi ya wale uliowaungaisha wewe na wale walioungwa na wale wewe uliwaunga - Mtandao wako. Mahesabu kamili ya RIFARO angalia hapa chini

-haya
ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe
binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.
-kampuni itakulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima.
KIVIPI?
KIVIPI?
Wewe : 1% ya matumizi yako.
Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano.
Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo 10.
(1 + 2.5 + 2.5 = 6 )
Inakuwa
jumla ya 6% , asilimia 0.5% iliyobaki ni kwa ajili ya ZAWADI kampuni
itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi cha 1
UNALIPWAJE PESA?
Kampuni itakulipa pesa yako iliyoipata kutokana na kipato cha wiki na mwezi kwa kupitia selcom card yako, kadi hii inafanya kazi kama ATM.
UZURI WA BIASHARA HII YA RIFARO
Kampuni itakulipa pesa yako iliyoipata kutokana na kipato cha wiki na mwezi kwa kupitia selcom card yako, kadi hii inafanya kazi kama ATM.
UZURI WA BIASHARA HII YA RIFARO
Fanya maamuzi sahihi kiingilio ni kidogo Kwanini Mtu anahitaji kujiunga na Kampuni ya Rifaro Africa??
1. Unalipwa Fedha kwa
miaka yako yote na hata baada ya muda
wako wa kuishi.
2. Rifaro ina hadhi kubwa kwa sababu imeaminiwa na hata
kufanya kazi kwa kushirikiana na makampuni ya simu nchini, yanayomiliki uchumi
mkubwa wa Tanzania.
3. Inafanya kazi na Selcom, kampuni kubwa duniani.
4. Rifaro inatumia ATM Visa Card ambayo inakubalika kufanya
financial transactions dunia nzima.
5. Benki zote nchini na duniani zimeiamini kutumia ATM card
yake wakati yenyewe siyo benki.
6. Rifaro ina Ofisi kila mkoa, kila wilaya, nchi nzima.
7. Rifaro ni halali, imesajiriwa kisheria na mamlaka zote,
TCRA, BRELA, TRA.
8. Ukilipa kiingilio unapewa Stakabadhi.
9. Rifaro ina Mawakala wa Selcom Machines kila kona ya nchi
ya Tanzania.
10. Rifaro ni pekee kukufanya ulipwe kwa kutumia simu yako
kutatua matatizo yako mwenyewe.
11. Unapata muda wa hewani na internet kwa bei za chini kabisa
13. Utahudhuria semina mbalimbali za mafunzo ya kibiashara bure nautaweza kuwaarika rafikizako wengine kwenye semina bure14. Utafundishwa mafunzo mbalimbali ya uongozi wa biashara katika group la whatssap na semina kama nilivoelezea hapo juu
15. Mtaji Kidogo
16. Muda Kidogo
ILI UFANIKIWE
1. Jiunge sasa usingoje kesho
2. Hudhuria semina na pia jiunge group la Whatsapp
3. Fuata Maelekezo
4. Jiunge kwa mdhamini aliyetayari kukufundisha mbinu za kufanikiwa
Kwa sasa ofisi za Rifaro zipo kila mkoa Tanzania, wasiliana nami kwa namba hizo hapo chini ili nikupe mawasiliano katika mkoa unakotokea.
Kama utahitaji kujiunga na Rifaro Africa basi usisite kuungana nami ili tufanye biashara katika timu moja.
MADARASA YAPO KILA SIKU ARUSHA, DSM NA MBEYA - ukihitaji kuhudhuria basi wasiliana nami.
MADARASA YAPO KILA SIKU ARUSHA, DSM NA MBEYA - ukihitaji kuhudhuria basi wasiliana nami.
Jina langu Angomwile Fungo
Mawasiliano +255 753376495
+255 719064402

No comments:
Post a Comment