Wednesday, 24 February 2016

Hii ndio Fursa pekee inayo KULIPA kwa matumizi yako ya simu.

   Nifursa Pekee inayo tolewa na RIFARO AFRICA 
Ndugu Karibu sasa na uweze kujua na kuelewa Rifaro Africa nini na Ufahamu ninamnagani Simu yako ita kunufaisha kupitia Mfumo wa Rifaro Africa. Tuanze kwa kutazama Rifaro Africa ni nini!!


RIFARO AFRICA ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO.
-kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba upo sahihi!
UHALALI WA KAMPUNI
-Kampuni imesajiliwa kwa kuzingatia taratibu za kisheria za kusajili kampuni.(kampuni imesajiiwa na taasisi zote muhimu)

BIDHAA
-kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ", bidhaa ambayo katika maisha ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia sana na BIDHAA yetu inatumika kwenye mitandao yote VODACOM, TIGO, AIRTEL na ZANTEL. KUMBUKA  HUNA ULAZIMA WA  KUUZA VOCH BALI KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI UNALIPWA.

MFUMO
- Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao "Network marketing "
Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo, uwepo usiwepo biashara yako huendelea kuwepo.
Mfumo wa Biashara ya Rifaro Africa
- Rifaro wameuweka mfumo huu katika vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1-15 kwa uwiano tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi!
Vizazi vitaendelea kuongezeka hadi kizazi cha 15


MALIPO
Aina za Malipo

I. Malipo ya wiki
-haya ni malipo yanayotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana na washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha kwanza hadi 15.
Utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya walioingia katika hiyo week husika.
Week ya Rifaro inaanza jumatatu saa 12:01 usiku na kufungwa jumapili 12:00 usiku.
- malipo haya hulipwa siku ya jumatano kwenye ATM Card yako (visa) .
MALIPO YAPO VIPI?
Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.
Kizazi 2: 8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7-kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi
Mfano kwa mezi ukaingiza watu kumi..na kila atakaiingia aingize wati 10.nimfano mnaweza ingiza wengi muwezavyo
1)20000×10=200,000
2)8000×100=800,000
3)5000×1000=5m
4)5000×10000=50m
5)5000×100000=500m
6)more than 500m
7-15)

II. Malipo ya Mwezi
- haya ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.
Kumbuka ukiwa umejiunga na Mfumo wa Rifaro Africa utaweza kununua yenye thamani sawa na ile ya kukwangua ila kwa gharama nafuu...kwanini!!! hii ni kwasababu Mfumo wa rifaro Africa umewaondoa Mawakala wawili (Wakala MKUU na Muuza JUMLA) katika mfumo wa usambazaji wa VOCHA hivyo wewe utaenda kujiunga na mfumo wa Rifaro Africa utabakiwa na jumala ya 6.5% na hizo ndizo zitakutengenezea kipato chako cha mwezi.
Upande kushoto nimfumo unaotumiwa Namawakala na upande wakusho ni Mfumo mpya wa RIFARO
- Hivyo kampuni inatulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima.
Wewe : 1% ya matumizi yako.
Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano.
Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo 10.
(1 + 2.5 + 2.5 = 6 )
Inatupa jumla ya 6% , asilimia 0.5% iliyobaki ni kwa ajili ya ZAWADI kampuni itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi cha 1-15.
* labda team yako nzima una watu 100,000 na ukalipwa 0.5% ya sh 20000/= atakayoitumia kila mmoja katika huo mwezi. Utalipwa 10,000,000/=. (PIGA HESABU).


 
Malipo ya M(wadhamini wako)

Haya nimalipo ya 4% yatakayo tokana na matumizi ya wadhamini wako, Na mdhamini uatamuunganisha kwa kununua kadi pekee ya selcom kwa Tsh 4500/=  kisha ukamuunganisha/akaunganishwa nawewe kwenye acount yako, isipokuwa mdhamini wako hata pata R number yeye atakuwa na C number, hivyo mdhamini hata pata kipato...kipato chake kitakuja kwako wewe  hizo 4% za matumiziyake. faida ya Mdamini nikuwa Atanufaika na matumizi yote ya SELCOM na  hatahitaji tena kununua vocha za kukwangua ila yeye hata lipwa

 Mf. Mzazi anaweza kumfungulia mwanae account ya Rifaro akapata R number, alafu yeye mzazi akamzamini mtoto wake kwakujiungia chini yake kama mdhamini akapata C number Hivyo matumizi ya mzazi katika Airtime Atalipwa mtoto wake kwenye ile acount yenye R number

Kwa hiyo katika kipato cha Mwezi utaweza kukusanya JUMLA ya 10.5% yani( 6.5% +4%)  za matumizi/mauzo ya Muda wa Maongezi

0.5% ya ZAWADI
-15,000 watu : Kiwanja
-25,000 watu: safari ya macca /Israel kujitakasa.
-40,000 : gari 1(15mln kwa thamani ya sasa hivi)
-70,000 : gari 2 (150 mln kwa thamani iliyowekwa sasa hivi na kampuni)
- 120,000 : POSH VILLA (nyumba ya kifahari), 400-500 milion kwa thamani iliyowekwa sasa hivi.
na unaweza chagua aidha apartments,hotel, au nyumba ya kuishi!
MTAJI WA BIASHARA 
Kama zilivyo biashara nyingine, hii pia itakuhitaji uwekeze mtaji (Ada) Tsh: 128,500/=  utapatiwa kifurushi chenye
1. DVD
2. ATM card(2000/= salio ndani yake)
3.kitabu cha biashara
4. Website (kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)
5. 5000/= salio vocha
6. Namba ya mwanachama

Hii ndio starter kit inayo patikana baada ya kulipia Ada ya usajiri 128500/= ambayo hutolewa Mara moja tuu

NB: huwa tuna semina katika maeneo mbali mbali TANZANIA zinazo husu kampuni hii ya RIFARO AFRICA..ilikujua mahali na muda wa semina tuwasiliane
0753376495 au 0719064402  kwa maelezo zaidi..... namba yangu ya kujiungia ni  (R347631) MUHIMU usikubari kushawishika kujiunga kwa R number nyingine kataa ushawishi wa Aina yoyote ile...ikibidi nenda ofisini nunua Starter Kit yako rudi nyumbani kisha Tuwasiliane nikupe Maelekezo namna ya kujisajiri ni Rahisi sana, au Tazama maelekezo pale chini yanayo eleza hatua za kujisajiri.
  

Fanya maamuzi sahihi kiingilio ni kidogo   Kwanini Mtu anahitaji kujiunga na Kampuni ya Rifaro Africa??
1. Unalipwa Fedha  kwa miaka yako yote  na hata baada ya muda wako wa kuishi.
2. Rifaro ina hadhi kubwa kwa sababu imeaminiwa na hata kufanya kazi kwa kushirikiana na makampuni ya simu nchini, yanayomiliki uchumi mkubwa wa Tanzania.
3. Inafanya kazi na Selcom, kampuni kubwa duniani.
4. Rifaro inatumia ATM Visa Card ambayo inakubalika kufanya financial transactions dunia nzima.
5. Benki zote nchini na duniani zimeiamini kutumia ATM card yake wakati yenyewe siyo benki.
6. Rifaro ina Ofisi kila mkoa, kila wilaya, nchi nzima.
7. Rifaro ni halali, imesajiriwa kisheria na mamlaka zote, TCRA, BRELA, TRA.
8. Ukilipa kiingilio unapewa Stakabadhi.
9. Rifaro ina Mawakala wa Selcom Machines kila kona ya nchi ya Tanzania.
10. Rifaro ni pekee kukufanya ulipwe kwa kutumia simu yako kutatua matatizo yako mwenyewe.

Una hofu gani?? Unasubiri nini?? Jiunge sasa na Rifaro, urithi pekee kwa Mwanao na Vizazi vyako maana ajira yako, biashara yako na cheo chako havirithishwi ng'o! Line zako na biashara yako ya Rifaro inarithishwa.

Karibu, jisajiri sasa!

Tazama hapa chini jinsi ya kujiunga/kuunganisha watu katkika mfumo  mfumo wa Rifaro kupitia Apps ya Rifaro Afruca inayo patikana Playstore

Baada ya install apps ya rifaro, ukiifungua itaonekana hivyo, na ukitaka kujisajiri au kumsajiri mtu utafungua SIGN UP

Ukiwa unajiunga Namba ya SIRI pale juu utaipata kwenye karatasi maalumu iliopo ndani ya ile Starter Kit ulio ilipia, kisha utajaza taarifa nyingine kama zinavyo hitajika apo
 
Hapo sehemu ya kujaza Upline wako utajaza R number ya yule mtu aliekutambulisha katka biashara hii..HIVYO utatumia  R NUMBER ambayo ni R347631


hapa mwisho ktk sehemu hii ya kujaza namba ya  SELCOM CARD namba hizi utazipata katika selcom kard  iliopo ndani ya ile starter kit...ukisha thibitisha kuwa Taarifa zako ni sahihi uta Crick SUBMIT DETAILS na hapo tayari utakuwa umejisajiri na mfumo wa RIFARO AFRICA

Baada ya hapo utaweza kulog in na kuangalia Biashara yako/ acount yako na utaweza kuona vipato vyako pamoja na vizazi vyako vyote ikiwa ni pamoja na JINA lako kamili na R number yako ambayo utatumia kuwaunganisha ndugu, Jamaa na Marafiki zako (Namba ya siri kati kulog in utatumia ile utakayo ikuta kwenye starter kit pia unaweza kuibadir na kuweka utakayo itaka)
 Kwa maelezo Zaidi Tuwasiliane kwa 0753376495 au 0719064402 bila
kusahau R347631

No comments:

Post a Comment