Thursday, 10 March 2016

USIOMBE PESA,TENGENEZEE PESA MWENYEWE



Hii ni FURSA NZURI sio Ya kupuuzia wala KUBEZA.


Wachumi  wana theory inaitwa Opportunity Cost ambayo maana yake ni kwamba kabla hujafanya jambo lolote lile angalia je kuna jambo lingine unaloweza kulifanya kwa gharama ileile lakini likakulipa zaidi ya hilo unalotaka kulifanya? 

Kama lipo basi achana na hilo unalotaka kulifanya na fanya lile lenye tija zaidi.Theory hii sasa ina maana kwa watumiaji wa simu za mkononi pamoja Computer. Kama unaweza kutumia mda wako uleule wa maongezi na ukalipwa KIPATO cha WIKI na cha MWEZUI kwa kujiunga na biashara ya Rifaro Africa Ltd, kwa nini utumie mda wa maongezi bila kulipwa?

Kwa mtaji wa TZS 128,500 tu utaweza kujiunga na biashara ya Rifaro Africa ambayo ina uwezo wa kukuingizia vipato vya wiki na vya mwezi ambavyo vinaweza kuzidi TZS 10,000,000 kwa mwezi kadri biashara yako inavyoendelea kukua.

BIASHARA IKOJE?
Rifaro Africa Ltd wao ni Wakala Mkuu wa makampuni ya simu yani Vodacom, Tigo, Airtel na Zantel. Kwenye mfumo wao wa usambazaji wa mda wa maongezi kwenda kwa mnunuzi wa mwisho, wameamua kuwaondoa wasambazaji wa kati ambao ni Mawakala wanaolipwa commission ya 2% na Wauza Rejareja wanaolipwa commission ya 5%.


 Badala yake, ukijiunga na mradi huu basi utakuwa unanunua mda wako wa maongezi moja kwa moja kutoka kwa Wakala Mkuu ambaye ni Rifaro Africa Ltd kupitia kadi yako ya Celcom ambayo utaipata mara baada ya kujiunga na mradi/mfumo huu kwa kulipia mtaji wa TZS 128,500. Vilevile, utawafahamisha watu wengine kuhusu mradi huu ili nao wajiunge kupitia udhamini wako na utalipwa kwa watu utakaowaalika na wale watakaoalikwa na watu uliowaalika mpaka kizazi cha 15 kwenda chini.

Kuna malipo ya aina tatu.
(a)  Malipo ya wiki ambayo ni malipo yanayohusiana na watu wanaojiunga na biashara hii kwenye mtandao wako kwa vizazi 15 kwenda chini (Tazama picha hii chini Mfano wa vizazi) 

(b) Malipo ya mwezi ambayo yanahusiana na utumiaji wako wewe mwenyewe wa mda wa maongezi kupitia Rifaro pamoja na utumiaji wa waalikwa wako kwa vizazi 15 kwenda chini na mwisho ni 


(c) malipo ya zawadi ambayo yatategemea na idadi ya watu ulionao kwenye mtandao wako kwa vizazi 15 kwenda chini.
    (picha hii chini Mfano wa vizazi)
Hii ni biashara ambayo haiumizi kichwa kwa sababu zifuatazo: 

 1. Nibiashara halali iliyosajiliwa na chombo cha udhibiti wa biashara ya mawasiliano ambacho ni TCRA, TRA pamoja na kuingia mikataba na makampuni ya Voda, Tigo, Airtel na Zantel hivyo si kampuni ya ubabaishaji.

     2. Mtaji wa biashara hii ni TZS 128,500 ni mdogo ukilinganisha na biashara nyingine. Kwa mfano, hata ukitaka kufungua biashara ya kuuza genge basi utahitaji mtaji wa zaidi ya TZS 128,500 kwa ajili ya gharama za banda la kuuzia genge lako, kutunza mahesabu ya biashara yako, kununulia malighafi utakazoziuza ambazo zinaweza kuharibika, kuibiwa au kupata usumbufu kutoka kwa mgambo, kulipia gharama za usafi, n.k. Lakini kwenye biashara ya Rifaro ambayo mtaji wake ni mdogo, huna gharama za kulipia gharama za ofisi .ofisi yako inakuwa kwenye tovuti ya Rifaro www.rifaroafrica.com ambapo ukishalipia mtaji wa TZS 128,500 basi umelipia na gharama za ofisi yako milele. 

Hakuna gharama ya kutunza mahesabu kwani watu unaowaalika, mapato yako na habari zingine za biashara yako zote zinakuwa kwenye ofisi yako iliyoko ndani ya tovuti ya Rifaro(www.rifaroafrica.com) au kwenye Application ya Rifaro Africa inayopatikana playstore  huitaji kununua malighafi ya kuuza kwani unachotakiwa kufanya ni kununua tu mda wako wa maongezi moja kwa moja kutoka Rifaro Africa kupitia kadi yako ya selcom pamoja na kualika watu wajiunge kwa udhamini wako ambapo utalipwa kwa kujiunga kwao pamoja na matumizi yao ya mda wa maongezi kwa vizazi 15 kwenda chini
    (huu nimwonekano wa Account katika Apps ya Rifaro)


Hakuna hofu ya kuibiwa au kuharibikiwa na bidhaa kwani huuzi vocha ambazo zinaweza kuibiwa, kuharibika au kupotea bali unaalika tu watu, hakuna usumbufu wa mgambo kwani ofisi yako iko hewani kwenye tovuti ya Rifaro, hakuna gharama za uendeshaji kama kulipia usafi n.k. kwani ofisi ikiwa kwenye tovuti huitaji usafi.
      (  hii picha ya chini nibaada ya kulog in utakutana najina lako na namba yako ya uanacha baada ya kujiunga,  utaweza kuona kipato chako na taarifa nyingine kuhusu timu/washirika wako)



        Pia ukiwa unahitaji kujiunga waweza tumia hiyo R number hapo juu (R347631)

 3. Hii ni biashara ambayo hata uwe mzito kiasi gani huwezi kupata hasara. Kwa mfano tuchukulie wewe ni mzito kualika watu na umeshindwa kupata watu kabisa. Bado utaweza kulipwa 1% ya mda wako wa maongezi kwa mwezi matumizi yako yatakapofikia angalau TZS 15,000. Lakini hata uwe mzito namna gani huwezi kushindwa kupata watu watano kwa mwaka mzima kwani watu wengi wanajiunga na biashara hii hivyo hata kama ni mzito utapata tu angalau watu watano ndani ya mwaka kama utaongea kidogo na watu unaokutana nao kuhusu biashara hii. Watu watano utakaowaalika kwa kuwadhamini kila mmjoa atakupatia TZS 20,000 mara baada ya kujiunga na hivyo utakuwa umesharudisha TZS 100,000 inabakia TZS 28,500. Tuchukulie kwamba katika kipindi hicho cha mwaka mmoja kila uliemualika kamualika mtu mmoja tu. Watu hao watakuwa kwenye kizazi chako cha pili ambapo unapata TZS 8,000 kwa kila mtu anayeingia kwenye kizazi chako cha piili hivyo watu watano utapata TZS 40,000. Hivyo utakuwa tayari umerudisha mtaji wako wa TZS 128,500 na faida juu. Lakini kikubwa hapa ni kwamba utakuwa umejenga msingi wa biashara yako kwani hao watu waliokwisha ingia kwenye mtandao wako wataendeleza biashara yako na hivyo kukuongezea kipato chako cha wiki na cha mwezi.

     Nakama utakuwa unahofu yakujiunga kwa kuhofia kushindwa kuwashilikisha au kuwaelezea biashara watu wengine(Ndugu, jamaa, Marafiki. N.k) kwakutoa hofu hiyo kwa ufupi nikwamba katika maeneo karibu yote Tanzania  huwa kunakuwa na semina siku za weakend pia hata katikati ya wiki na hizi semina huwa hazina viingilio (nibure kuhudhulia)na maranyingi hufanyika eneo laofisia au karibu na eneo laofisi Za Rifaro Africa.   kwaiyo kwa yule asie weza kumuelewesha  Mtu mwingine atakacho kifanya nikumwalika yule mtu au watu wake anaetaka kuwashirikisha na biashara  kuhudhuria semina...kisha  wakaelekezwa na wakaelewa,  na kama wakitaka kujiunga watajiungia kwako wewe uliewaalika kwenye ile semina kupitia namaba yako ya uanachama au namba ya udhamini inayoitwa R number


     Kwahiyo  ata kama mtu yupo mabari na wewe unampigia simu na kumpa ratiba ya semina ata hudhuria huko huko aliko naakitaka kujiunga bado atajiungia kwako kupitia  R number yako. Kitu kingine nikuwa Hii nitewrok market (biashara ya mtandao) hivyo nikushirikishana kati ya kizazi na kizazi..katika biashara yetu mtu anejiunga hupata usjirikiano wakutosha toka kwamtu aliemtambulisha katika fursa ya Rifaro 



  4. Ni biashara ambayo haihitaji uwe na elimu ili kuifanya. Hata mtu ambaye hakwenda hata shule ya chekechea anaweza kuifanya ili mradi aweze kuongea na watu kwa kutumia Kiswahili. Hakuna cha bosi wa kukufuatilia na kukuwekea masharti kama mtumwa ila wewe mwenyewe ndie utakaye kuwa bosi ufanyekazi au usiafanye kazi ni juu yako wewe.

  5. Bidhaa inayotumika kwenye biashara hii si ya kusadikika. Ni bidhaa ambayo kila mtu mahali popote  anaihitaji, awe na kipato kidogo au kikubwa awe mjini au porini. Hata mmachinga hawezi kufanya biashara yake bila kuwa na simu angalau ya mchina ili wateja waweze kumpigia simu na kumwita akawafanyie kazi zao.sita ni biashara ambayo kwa wale walio makazini itawasaidia sana huko mbeleni. Kazini kuna kufukuzwa kazi au kustaafu. Watu wengi huwa wanachanganyikiwa na kufa siku si zao baada ya kusataafu kwani? wanakosa marupurupu ya kazini kama vile mishahara, matibabu ya uhakika, posho, n.k. badala yake wanalipwa pensheni ya uzeeni ya mwezi ambayo hata wiki mbili haziishi hela imekauka! Kwa kutumia fursa hii ya Rifaro na kuanza kujenga biashara hii wakati bado wapo kazini wanakuwa kwenye fallback position safi sana. Kwanza wanapokuwa kazini wanakutana na watu ambao ni waelewa na wenye uwezo wa kulipia TZS 128,500 kujiunga na mradi huu (Najua wengi wenu mliopo makazini hiyo hela ni ya siku moja tu kwenye viti virefu unapokuwa na rafiki zako). Pili haihitaji mda mkubwa kufanya biashara hii. Utaweza kutumia mda wa break wakati wa lunch kuzungumza na jamaa zako kuhusu biashara hii na ukawa kwenye fursa ya kupata mafanikio pesa ya mshahara ikabaki kuwa ziada.
              (Jinsi ya kununa Muda wa maongezi kwa mfumo wa Rifaro Africa)

    6. Biashara ya Rifaro ndio kwanza inapamba moto baada ya makampuni ya Voda, Tigo na Airtel nayo kuingia kwenye biashara hii. Mwanzoni ilikuwa ni Zantel tu hivyo ilikuwa ni vigumu kuwashirikisha  watu wajiunge nayo kwani mtandao wa Zantel haujaenea sana hapa Tanzania bara. Lakini kwa sasa kwa sababu unaweza kujiunga na laini yako yoyote ile uliyonayo na bado ukaweza kuwaalika watu wenye laini zingine tofauti na ya kwako na utalipwa basi biashara imekuwa rahisi kupata watu wa kujiunga nayo. Hii ni biashara mpya ukilinganisha na biashara nyingi za mitandao hapa Tanzania hivyo kuna fursa ya kupata watu wengi wa kujiunga kupitia kwako kwani watu wengi bado hawajaijua. Ni kawaida ya watu wengi kusubiri mpaka waone watu wamefanikiwa kwenye kitu fulani ndio na wao waanze kukifanya. Kwa wale wana uchumi na wana Hisabati mnafahamu kuhusu Normal Curve ambayo inadhihirisha ukweli kwamba kwenye kila jambo kuna watu wachache watakaoanza kulichangamikia (Leaders/left tail - hawa ni Risk Takers na ndio wenye kupata mafanikio makubwa hapa duniani), wengi watachangamkia baada ya jambo kuwa maarufu (wakati normal curve iko katikati kabla na baada ya ku bottom up) na wachache watachangamkia wakati jambo hilo linapoteza umaarufu (Laggards/Right tail).

    Hivyo kwa mtu mwenye malengo na anayeona mbali, biashara ya rifaro ndio jibu la kutimiza ndoto zako ambazo ulitamani siku moja uzifikie, kujiunga na biashara hii tembelea ofisi zetu zilizopo katika kila mkoa hapa Tanzania ukiwa na kitambulisho chako chochote kile,namba ya mdhamini wako ambayo ni  R347631 jina ni AUGUSTINO KUWOKO Na ada yako ambayo ni 128500. kwa maelezo zaidi nitafute kupitia 0719064402 au 0753376495 au 0625688223 (kuwokoaugustino@gmail.com) Ikiwa ni pamoja na kukupa maelezo ya kituo kilichopo karibu yako kwa ajili ya kujiunga na kampuni. 

TAZAMA HAPA CHINI FORM YA KUFUNGULIA ACCOUNT 
Namba ya Siri utaipata baada ya Kulipia ada (starter Kit)
 
Upline ni R number ambayo ni R347631
hapa utajaza namba zako nyingine za simu, SELCOM CARD NO utaipata baada ya kulipia ile Kit yako. Ukisha jaza uta Crick SUBMIT DETAILS



Fanya maamuzi sahihi kiingilio ni kidogo   Kwanini Mtu anahitaji kujiunga na Kampuni ya Rifaro Africa??
1. Unalipwa Fedha  kwa miaka yako yote  na hata baada ya muda wako wa kuishi.
2. Rifaro ina hadhi kubwa kwa sababu imeaminiwa na hata kufanya kazi kwa kushirikiana na makampuni ya simu nchini, yanayomiliki uchumi mkubwa wa Tanzania.
3. Inafanya kazi na Selcom, kampuni kubwa duniani.
4. Rifaro inatumia ATM Visa Card ambayo inakubalika kufanya financial transactions dunia nzima.
5. Benki zote nchini na duniani zimeiamini kutumia ATM card yake wakati yenyewe siyo benki.
6. Rifaro ina Ofisi kila mkoa, kila wilaya, nchi nzima.
7. Rifaro ni halali, imesajiriwa kisheria na mamlaka zote, TCRA, BRELA, TRA.
8. Ukilipa kiingilio unapewa Stakabadhi.
9. Rifaro ina Mawakala wa Selcom Machines kila kona ya nchi ya Tanzania.
10. Rifaro ni pekee kukufanya ulipwe kwa kutumia simu yako kutatua matatizo yako mwenyewe.

Una hofu gani?? Unasubiri nini?? Jiunge sasa na Rifaro, urithi pekee kwa Mwanao na Vizazi vyako maana ajira yako, biashara yako na cheo chako havirithishwi ng'o! Line zako na biashara yako ya Rifaro inarithishwa.

Karibu, jisajiri sasa!

ASANTE NA KARIBU SANA.

3 comments: