Kwanini
UTUMIE SIMU YAKO ya MKONONI na USILIPWE??
Gundua
UTAJIRI uliyomo katika SEKTA YA MAWASILIANO, sekta ambayo inakuwa kwa kasi, sector ambayo haimbagui mtu, kijana, mzee masikini, tajiri, msomi na asie msomi wote wananufaika nayo.
Kama wewe unatumia Facebook, WhatsApp, Twitter, Instagramu, MySpace, Linkedin,
Badoo n.k sasa weweza kufanya SIMU
yako kuwa ya Manufaa MARADUFU kwakujitengenezea kipato kupitia SIMU YAKO YA MKONONI (Social Network mitandao
ya kijamii) namatumizi mengine ya kawaida ya SIMU.
Kwanini
nasema ugundue utajiri uliopo katika sector ya mawasiliano?
Ebunikueleze kidogo hapa kwa kukupa historia
fupi ya sector hii tajiri hapa Tanzania
Idadi
ya Watanzania mwaka 2000 ilikadiriwa kuwa Millioni 33.4 wakati watumiaji wa
sector Mpya simu (mawasiliano walikuwa
110,000
Baada
ya miaka saba, Mwaka 2007 idadi ya watu
iliongezeka hadi kufikia Millioni 39.8 ambapo kati ya hao watumiaji wa sector ya walikuwa ni Millioni
7.5
Chakushangaza
miaka saba Badaee tena Mwaka 2014 idadi ya watu iliongezeka nakufikia Miliioni 45, wakati sector hii
changa ya mawasiliano ikiwa na watu/watumiaji
Millioni 31862656 uki jumulisha nawatumiaji wasimu za mezani itafikia Millioni 3213930
Swali
muhimu ni Je?? Itakuwaje itakapofika 2020?
Mwaka
2014 Watanzania walitumia Dakika Millioni 490 kuzungumza na watu Nje ya Nchi na wakati huo walitumia
Dakika Billioni 41.6 kuongea na watu Ndani ya Nchi.
Yawezekana
usielewe..ngoja nirahisishehivi, Kama kila mmoja angeongea bila kukata Simu inge
Gharimu miaka 79300 kukidhi haja ya watu
wote (lakini sector Changa ya mawsiliano inakamilisha haya Ndani ya Mwaka
Mmoja)
Inaaminika
mwezi wa 12/2014 Tanzania ilitumia Trioni 1.4 kwenye Muda wamaongezi , hii
inamaanisha kuwa kwasiku wanatumia
shilingi Billioni 36
Vipi
kuhusu mwaka 2025?
Sekta
ya mawasiliano inathamani ya zaidi ya
Trioni 13. Hii inamaanisha nini kwako
Asilimia
7% zipo pembeni kwa wale wenye macho na
matarajio ya baadae , asilimia hiyo nisawa na shilingi Billioni 910 na hadi
kufikia mwaka 2025 itafikia Tsh trioni 2 ambayo itakuwa nibahati Kwa wale wanao
iona Nafasi/fursa hii kwa sas.
Hivyo
napenda kukukaribisha nawewe katika fursa hii kubwa ya Rifaro Africa ilituweze
kunufaika na hizo 7% kwa pamoja kwakujitengenezea KIPATO cha MWEZI (kisicho na
kikomo) kwamatumizi yako ya Muda wa maongezi, pia utapata kujitengenezea KIPATO
cha WIKI kwa kuji tengenezea Timu (Network) yani kwa kuwashirikisha watu wengine
wewe utalipwa( kizazi cha 1 hadi Kizazi cha 15. Tazama hii picha chini mfano wa Timu/network





No comments:
Post a Comment