Friday, 29 April 2016

Mawasiliano ya ofisi

Tumieni namba hizi kwenye center zetu, upatiwe Huduma  Ufikapo Ofisini  hakikisha unafika na namba hii ya UDHAMINI R347631 usikubari kushawishika kutumia R number nyingine

Makao makuu sinza-Dar
0774015420
0712015420
0745070164
0222701514

Kariakoo - Dar
0772944111.

Kimara stop over-Dar
0715880606.

Mwanza
Nyerere Road
0779422211.

Morogoro-Boma Road
0784997411
0777997411

Tanga
0777179984.
0712624192.

Arusha, Kiluvia House
0744513156.

Arusha.
0684752052
0772452052

KARATU
0784 897722
0782457714
0658770604

MONDULI
0782179895
0774918589
0755803475

BABATI
0784 897722
0744967938
0682782758

Usa River, Arusha
0762496280.
0683813916.

Mbeya
0744421660.
0715787038.

Kyela
0767845767.

Vwawa, Mbozi
0759344894.

Geita
0772220478.
0773347647.

Zanzibar
0715424386.
0777424386.

Moshi
0773324354
0784232230

Kahama
0772866746
0765167065

Shinyanga
0789266330
0776623766
0754068145

Sumbawanga
0773327505
0776625934

Tabora
0776625959.
0776620257.

Nzega, Tabora
0744063075.
0682147549.

Igunga,Tabora
0673353275.
0757353275.

Mtwara
0713457989.
0776619263.

Iringa
0784807663
0743270267

Kimamba, Kilosa
0658 668 640

Singida
0715669975
0772207525

Dodoma
0679195196
0758288666
0629288378

Kibaigwa,Dom
0763924949
0719666645

Kisongo, Dom
0673702265.
0788609030.

Kongwa, Dom
0688620660.

Bukoba
0715299260.
0773769915.

Karagwe, Kagera
0752156333.
0787574974.

Kilosa, Moro.
0786232525.

Ifakara, Moro
0712843508.

Songea
0763678196.

Muleba, Kagera
0784387662
0752162110

Musoma
0756143035.
0676143035

Nganza, Nyegezi - Mwanza
0767245779
0714245779

Buzuruga Plaza, Ilemela /Nyamagana-Mwanza
0745491924
0672927657

"KARIBUNI SANA "

Friday, 22 April 2016

Tengeneza kipato kwa kutumia simu yako

RIFARO AFRICA LIMITED

Ni wakala msambazaji/muuzaji wa muda wa hewani (vocha) kupitia simu zetu za mkononi.
Kama vile tununuavyo vocha kwa
Tigopesa :*150*01
M-pesa :*150*00#
Airtel :*150*60#
Zantel :*150*02#

Vivyo hivyo tutanunua muda wa hewani kupitia SELCOM *150*50# ambako ndani ya orodha( menu) ndipo lipo DUKA LA RIFARO

(nitaielezea kwa kina kwenye kipengele cha namna ya kununua vocha kwa duka la Rifaro) 

Utofauti wa kwenye menu za mitandao mingine na Rifaro ni kwamba huku unanunua vocha kwa matumizi yako yale yale ya kila siku halafu UNALIPWA.

TAFSIRI NYEPESI: 
Rifaro Africa ni kampuni inayowawezesha watumiaji wa simu za mkononi kutumia vocha na kulipwa. 

HISTORIA FUPI
Ni kampuni iliyoanza kufanya mchakato wa usajili wa kampuni na vibali vingine stahiki kwa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania toka mwaka 2011.

-Rasmi vikakamilika mwaka 2014
-usajili wa kampuni kutoka BRELA
-Ulipaji wa kodi TRA (kampuni inalipa aina 3 za kodi)

I. Kodi kutokana na mauzo ya starter kits
II. Kodi kutokana na manunuzi ya airtime tunayoyafanya ambayo haya automatic huwa yanalipwa kupitia Selcom.
III. Corporate tax : kodi kulingana na ukubwa/udogo( size ya kampuni)

- kibali cha uendeshaji wa biashara kutoka manispaa ya kinondoni.
-kibali cha muda "temporary licence" kutoka Mamlaka ya mawasiliano Tanzania "TCRA". Ambacho ni 15420 kilichounganishwa na mtandao wa Zantel moja kwa moja.

UBIA
- December 6,2014 Ilianza kufanya kazi na Zantel ambako kuna duka la Rifaro kwenye "menu" ya Ezypesa. 

Kampuni  ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa 35% ya hisa na 65% ya kampuni ya Etisalat. Kabla ya kununuliwa na Millicom( kampuni mama ya Tigo) .

-August, 2015 ikaanza kufanya kazi na Selcom Tanzania kwa mauzo ya muda wa maongezi wa kampuni za Tigo, Vodacom na Airtel.

MFUMO WA BIASHARA: kampuni inatumia mfumo wa BIASHARA YA MTANDAO (network marketing business).

BIASHARA YA MTANDAO
- Ni biashara ambayo kampuni inawahusisha wanachama wake kufikisha taarifa kwa watu wengine kuhusu uzuri/ubora wa mfumo na bidhaa zake.

Aliyefikishiwa ujumbe akiupenda mfumo na kujiunga kwa taratibu za hiyo kampuni, uliyefikisha taarifa unalipwa. Lakini pia kila anunuapo bidhaa ya hiyo kampuni bado kampuni itakuwa inakulipa asilimia ya manunuzi yake.

BIDHAA YA RIFARO AFRICA :Ni  vocha (Airtime)

MALIPO KWA WANACHAMA( VIPATO)
I. kipato cha week
II. Kipato cha mwezi

KIPATO CHA WIKI:- 
Hiki ni kipato kinachotokana na wanachama wapya wanaojiunga katika wiki hiyo husika.
wiki ya Rifaro Africa inaanza jumatatu ya saa 00:01 usiku na kufungwa jumapili 23:00 usiku na malipo yake hufanyika kila jumatano ya wiki inayofuata.

-Wale utakaokuwa umewaunganisha kwa namba yako ya uanachama ndani ya hiyo wiki husika utalipwa 20,000 kwa mmoja.

Hawa tunawaita KIZAZI chako cha KWANZA ( K1)
kwa hiyo kama utaweza kuunganisha 3 means 60000 jumatano.
Kama 10 direct kwako ina maana 200,000 jumatano.

LAKINI, hawa wanao(K1) nao wakiunganisha watu kwako watakuwa ni WAJUKUU (K2), bado kampuni inakupa 8000/= kwa yeyote anayejiunga hapo.

Kama watajiunga 10 maana yake 80,000 jumatano.
RIFARO AFRICA INAKULIPA MPAKA KIZAZI CHAKO CHA 15. Katika mtiririko ufuatao
K1: 20,000
K2: 8,000
K3: 5,000
K4: 5,000
K5: 5,000
K6: 3,000
K7-K15: 2,000 kwa kila mtu anayeingia kwenye hivyo vizazi.

WEEK JUZI
K6: 35 wanachama wapya waliingia.
K7-K10 : waliingia wanachama 197, unaweza pata hesabu hii wiki nililipwa pesa ya kitanzania shilling ngapi? 637,000/= cash.
Sikusajili mtu yeyote direct kwangu, wala hamna mtoto aliyeniletea mjukuu, ni 5000 tano, elfu 3000 na elfu 2000.

KIPATO CHA MWEZI

HAPA NAHITAJI UMAKINI WAKO NDIPO KWENYE KIINI HASWA CHA HII BIASHARA.

Ni kipato kinachotokana na matumizi yako ya vocha unayoyafanya ndani ya huo mwezi husika, na asilimia ya matumizi ya vocha yaliyofanywa na washirika wako wa kibiashara katika huo mwezi husika. 

HUKU HATUUZI VOCHA, ila pia kama una kipaji cha kuuza vocha tutakuonesha mfumo mbadala utakaokuingizia kipato cha ziada ndani ya RIFAR AFRICA

Huku tunajenga timu ya WATUMIAJI WA VOCHA, ili ulipwe asilimia chache chache kutoka kwao ndizo zitakazokufanya kuwa millionaire.

MGAWANYIKO WA ASILIMIA ZA MALIPO.
Makampuni ya simu za mkononi yanampatia Rifaro Africa 9% ya faida kwa manunuzi ya wanachama wake.

RIFARO : 2% wanachukua kama faida.
WANACHAMA : 7%.

Hiyo 7% inagawanywa kuanzia kwenye MATUMIZI YAKO hadi kwenye matumizi ya TIMU YAKO kama ifuatavyo.

Wewe : 1%
Kizazi 1(K1) mpaka K5: 0.5% kwa matumizi ya kila vizazi hivyo vitano.
Kizazi cha 6(K6) mpaka K15: 0.25% kwa kila kizazi.

Ukipiga hesabu ya haraka hapo.
Wewe :1%
K1-K5: 0.5% 5= 2.5%
K6-K15: 0.25% 10= 2.5%
JUMLA =6%

ZAWADI ZA UONGOZI
1% ( nitaizungumzia mbele ya mafunzo) .
HIKI NI KIPATO AMBACHO UNAPOIANZA SAFARI YA KUKITENGENEZA KINAKATISHA TAMAA. LAKINI KADRI TIMU YA WATUMIAJI INAPOKUWA NA CHENYEWE KINAANZA KUKUCHEKEA.
 Kipato changu cha kwanza cha mwezi kilikuwa 500/=, eeeh MIA TANO  ila kipato changu cha mwezi uliopita ni shilling 77,000.
Hiki kipato (cha mwezi)  hulipwa kila tarehe 5 ya mwezi unaofuata.

TUZO ZA UONGOZI
Hizi ni zawadi mbalimbali ambazo mwanachama hupatiwa pale anapotimiza idadi kadhaa ya watu kwenye timu yake kuanzia kizazi cha 1 mpaka 15.
Hizi zawadi zinatokana na ile 1% unayostahili kutoka kwenye ile 7% unayostahili.

1. Watu 15,000 - Zawadi ya Kiwanja (10+ millions)
2. Watu 25,000 - Safari ya Macca kwa waislam. Israeli kwa wakristo( safari takatifu,mume na mke mnaenda pamoja) Kama upo single pia bado utakwenda na mpedwa wako mmoja.
3. Watu 40,000 - Gari la kwanza lenye thamani ya 20+ millions.
4. Watu 70,000 - Gari ya kifahari yenye thamani ya 150+ millions.
5. Watu 120,000 - Nyumba ya kifahari/ kasri lenye thamani ya 500+ millions

*Inawezekana moja kati ya MALENGO yako pia yameangukia katika hizi tuzo. Basi kupitia Rifaro Africa THUBUTU na uitendee haki fursa kwa kuwashirikisha watu nakujenga TIMU na Ndoto zako zitatimia kwani Fursa ndo Kwanza imeanza kushamili hivyo huja chelewa.

MANUNUZI YA VOCHA KUPITIA RIFARO

ZANTEL (Ezypesa)
Kwa wanachama ambao wana line za Zantel wanaweza kununua kupitia menu ya ezypesa.
Piga *150*02# Chagua 
3. Nunua muda wa maongezi -  Halafu number
5. Rifaro Airtime 

SELCOM ATM CARD
Piga *150*50#
Baada ya kuweka namba ya siri, itakuletea menu ifuatayo
1. Salio
2. Statement fupi
3. Nunua muda wa maongezi
4. Lipia bili
5. Tuma pesa
6. Toa pesa
7. Vifaa
Chagua 3 itakuletea menu
1. Binafsi (Selcom)
2. Mwingine (Selcom)
3. Rifaro
Utachagua 3 Rifaro kasha utaendelea
1. Rifaro binafsi
2. Rifaro mwingine

Hizo ndio njia kuu mbili zinazo Tumika kwa sasa

UNAHITAJI NINI KUJISAJIRI KATIKA MFUMO WA RIFARO AFRICA.
Ada ya usajili : 128,500/=

Malipo unafanyia katika ofisi mbalimbali za Rifaro zilizopo nchini. (Wasiliana na mimi kujua ofisi ilio karibu nawewe)

-Utapatiwa bahasha "Starter kit" yenye card ya usajili, Selcom ATM card, kitabu na DVD ya mafunzo.

TAARIFA HIZI UWE NAZO :
-majina kamili
-mwaka wa kuzaliwa
-namba ya kitambulisho
-NAMBA YA UDHAMINI ambayo ni R347631
-namba zako za simu 

NJIA ZA KUJIUNGA
1. WEBSITE : www.rifaroafrica.com
-Kabonyeze sehemu walipoandika "JOIN US"
Itakuja fomu utakayojaza taarifa hizo hapo juu na kuituma fomu.

AU TUMIA

2. APPLICATION : ingia Google playstore, tafuta "Rifaro Africa " na uishushe "download " app .
- Bonyeza "Sign up " itakuletea fomu kama ile ya kwenye website na ujaze taarifa zako.

PIA NJIA HIZO MBILI UNAWEZA KUINGILIA KWENYE OFISI YAKO( BACKOFFICE)
www.rifaroafrica.com

Bonyeza "MY ACCOUNT " itakuletea
Username ambayo namba ya simu : Mf. 255719064402  (ni muhim kuanza na 255)
( namba kuu uliyojisajilia Rifaro) 

Password : Namba za siri utakazozikuta kwenye card ya usajili ndani ya sterter kit.
( ukishaingia kwenye backoffice unaweza kuibadilisha na kuweka ya kwako)

MAMBO MENGINE YA MSINGI :
 utayapata kupitia menu, bonyeza pale pale "my account " itakuletea orodha ya
>Distributors ( timu yako mpaka kizazi cha 15)
> Transaction income (matumizi ya vocha ya vizazi vyako kwa kila mmoja)
>Ongeza namba ( za simu kwenye mfumo wa rifaro, kama awali hukuiweka)
>Change password ( badilisha namba ya siri ya awali uliyoikuta kwenye card ya usajili au kila utakapo)

*NA MENGINE MENGI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi kupitia 0753376495 au 0719064402 au 0625688223
MUHIMU fika ofisini na namba hii ya udhamini R347631 Jina Augustino Kuwoko
Karibu sana


Friday, 8 April 2016

Fursa ya Ujsaliamali na Kujiajirai

Kwa fursa zilizopo Tanzania kwa sasa, kama utashindwa kutengeneza pesa kwa ajiri yakuendeshea shughulizako mbalimbali  basi jilaumu mwenyewe. Kuna fursa nyingi sana katika biashara ya mtandao, kilimo, biashara za uuzaji bidhaa na pia ujenzi na usafirishaji.

Kampuni ya Rifaro imekuja na mbinu mpya ya biashara katika muda wa maongezi ambapo kila utumiapo muda wa maongezi unalipwa na kila unapomdhamini au mshawsihi mtu ajiunge na mitandao ya tigo, airtel, voda au zantel pia unalipwa, sasa Mungu akupe nini?
Muda mwafaka wakufanya maamuzi ni sasa


RIFARO AFRICA ni nini? 
Rifaro Africa  nikampuni mama kutoka Tanzania yenyelengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwakumuingizia KIPATO, kampuni ilipata wazo hilitoka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mweziwa 12. Baada ya taasisi zote muhimu kuipitia nakujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wasimu kwamba uposahihi.      
 

NAMNA YA KUANZA

Utafika Ofisi yeyote ya Rifaro Tanzania na katika mikoa na baadhi ya Wilaya Tanzania. Utapewa mafundisho kidogo na kisha utalipa pesa yako na kukabidhiwa vitendea kazi vyako tayari kwa kuanza biashara yako ya Rifaro. Vitendea kazi vyako ni pamoja na R namba yako. itakayo kuwezesha kuwaunganisha watu kutoka maeneo yote Tanzania na nje ya TZ Lakini kabla ya kujiunga hakikisha una R namba yaani namba ya mdhamini wako. kwahiyo namba yangu ya udhamini utakayo tumia kujiungia ni hii (R347631)

'R' namba, yaani ni namba ya utambulisho  kama mwanachama wa rifaro africa pia nimba inyo tumika kwa udhamini kwa wanachama wapya wanao jiunga. kwa hiyo nawewe baada ya kujiunga hakikisha unahifadhi vizuri kwa ajiri ya udhamini kwa wengine
MUHIMU NDUGU ZANGU R NAMBA YANGU - 347631 Hii ni namba ambayo utawapa wahudumu wa Rifaro ili waitumie kama mdhamini mimi nitakuwa mdhamini wako hata kama sikujui, au hata hatuji kuonana. Ukifika tu kujiunga mpe R namba hiyo. 

Hiyo tu inakuwa imetosha wewe kuingia Rifaro na kuanza kupiga kazi yako, usihangaike kupata wadhamini. Udhamini ni BUREE. 
 
MTAJI WA BIASHARA
Kama zilivyo biashara nyingine, hii Rifaro pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128,500/=
UKISHA JIUNGA UTAPEWE VITENDEA KAZI KAMA VIFUATAVYO

1. DVD
2. ATM card(2000/= saliondaniyake)
3.kitabu cha biashara
4. 5000/= salio kama vocha
5. Namba ya mwanachama (R number)



6. Utapata Website ya Rifaro kama hii hapa bofya linki hiyo.(kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)

MATUMIZIA YA SELCOM CARD AU ATM CARD ZA RIFARO

1. Inatumika kununua na kuuza vocha kwenye mitandao  ya simu mbalimbali(Yani VODACOM, TIGO,AIRTEL na ZANTEL)
2. Inatumika kutuma na kupokelea pesa kutoka mitandao ya simu mbalimbali.(mitandao tajwa hapo juu)
3. Inatumika duniani kote palipo na huduma ya selcom
4. Inaweza tumika kulipia bili za umeme, maji na pia kulipia kwenye supermarkets na sheli
5. Inao uwezo wa kupokea na kutoa hela hadi milion 10.

MFUMO
Mfumo wa Rifaro ni mfumo wa Mtandao(network)

Angalia Katika picha hiyo juu wewe ukisha jisajiri na mfumo wa Rifaro ukawadhamini(ukawaunganisha) watu wawili ambao ni K1(kizazi cha kwanza) wao kizazi cha kwanza wakawaunganisha watu wengine watatu na wakaunga K2, wale waa K2 waka washirikisha wengine 6 nakuunda K3  
Hivyo vizazi vitaendelea hadi kizazi cha 15 na matandao unazidi kukuwa kwenda chini, Hivyo mwanachama wa Rifaro Africa naruhusiwa kuunganisha/ kutengeneza mtandao mkubwa kadiri awezavyo.

LINE UNAZOWEZA KUFANYA NAZO KAZI RIFARO

- Zantel
- Vodacom
- Airtel
- Tigo

UNAPATAJE PESA? 
AINA ZA KIPATO KATIKA RIFARO AFRICA

KIPATO CHA WIKI

A - Utapata sh 20,000 kwa kila utaye muunganisha kama kizazi chako cha kwanza K1
  K1 akiunganisha mwezake (K2)- yeye atapata sh 20,000 nawewe utapata 8000 toka kwa K2 kwasababu bila wewe kumuunga K1,  K2 asingepatikana.
  K2- itampasa kuendea kutafuta watu wa kuwaunga  Kwa hiyo K2 nae ataendelea kunganisha hivyo mtandao unnazidi kukua hadi K15. na kama nilivo sema wewe na watu walio kwenye kizazi cha wanaweza kuunganisha watu wengi kadiri wawezavyo nakujenga nit kubwa itakayo ingiza kipato kisicho na kikomo 
MCHANGANUO WA MALIPO
Angalia hapa chini
Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.
Kizazi 2: 8000/= kwa kila mpya atakaye ingizwa na kizazi chako cha kwanza
Kizazi 3: 5000/= kwa kila mpya atakaye ingizwa na kizazi chako cha pili
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7-kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi

KIPATO CHA MWEZI 

Hiki ni kipato kinachotokana na matumizi yako ya muda wa hewani kwa kutumia RIFARO pamoja na matumizi ya wale uliowaungaisha wewe na wale walioungwa na wale wewe uliwaunga - Mtandao wako. Mahesabu kamili ya RIFARO angalia hapa chini

-haya ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.
-kampuni itakulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima.

KIVIPI?

Wewe : 1% ya matumizi yako.
Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano.
Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo 10.
(1 + 2.5 + 2.5 = 6 )
Inakuwa jumla ya 6% , asilimia 0.5% iliyobaki ni kwa ajili ya ZAWADI kampuni itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi cha 1


UNALIPWAJE PESA?

Kampuni itakulipa pesa yako iliyoipata kutokana na kipato cha wiki na mwezi kwa kupitia selcom card yako, kadi hii inafanya kazi kama ATM.

UZURI WA BIASHARA HII YA RIFARO

Fanya maamuzi sahihi kiingilio ni kidogo   Kwanini Mtu anahitaji kujiunga na Kampuni ya Rifaro Africa??

1. Unalipwa Fedha  kwa miaka yako yote  na hata baada ya muda wako wa kuishi.
2. Rifaro ina hadhi kubwa kwa sababu imeaminiwa na hata kufanya kazi kwa kushirikiana na makampuni ya simu nchini, yanayomiliki uchumi mkubwa wa Tanzania.
3. Inafanya kazi na Selcom, kampuni kubwa duniani.
4. Rifaro inatumia ATM Visa Card ambayo inakubalika kufanya financial transactions dunia nzima.
5. Benki zote nchini na duniani zimeiamini kutumia ATM card yake wakati yenyewe siyo benki.
6. Rifaro ina Ofisi kila mkoa, kila wilaya, nchi nzima.
7. Rifaro ni halali, imesajiriwa kisheria na mamlaka zote, TCRA, BRELA, TRA.
8. Ukilipa kiingilio unapewa Stakabadhi.
9. Rifaro ina Mawakala wa Selcom Machines kila kona ya nchi ya Tanzania.
10. Rifaro ni pekee kukufanya ulipwe kwa kutumia simu yako kutatua matatizo yako mwenyewe.
11. Unapata muda wa hewani na internet kwa bei za chini kabisa
12. Simu yako inakuwa Jembe Lako, inaingiza hela kutokana na matumizi ya muda wa maongezi unoutumia
13. Utahudhuria semina mbalimbali za mafunzo ya kibiashara bure nautaweza kuwaarika rafikizako wengine kwenye semina bure14. Utafundishwa mafunzo mbalimbali ya uongozi wa biashara katika group la whatssap na semina kama nilivoelezea hapo juu
15. Mtaji Kidogo
16. Muda Kidogo

ILI UFANIKIWE

1. Jiunge sasa usingoje kesho
2. Hudhuria semina na pia jiunge group la Whatsapp
3. Fuata Maelekezo
4. Jiunge kwa mdhamini aliyetayari kukufundisha mbinu za kufanikiwa


Kwa sasa ofisi za Rifaro zipo kila mkoa Tanzania, wasiliana nami kwa namba hizo hapo chini ili nikupe mawasiliano katika mkoa unakotokea.

Kama utahitaji kujiunga na Rifaro Africa basi usisite kuungana nami ili tufanye biashara katika timu moja.

MADARASA YAPO KILA SIKU ARUSHA, DSM NA MBEYA - ukihitaji kuhudhuria basi wasiliana nami.

Jina langu Angomwile Fungo
Mawasiliano +255 753376495
                           +255 719064402

"R" number yangu 347631 jina Augustino Kuwoko