BIASHARA YA MTANDAO vs. BIASHARA YA DUKA(YAKAWAIDA)
Kwa utangulizi mfupi tuanze na kuangalia maa ya biashara ya MTANDAO (in summary), biashara ya DUKA (kawaida) inafahamika sana sana hivyo sitapoteza muda kuelezea maana yake.
Biashara ya Mtandao ni mtindo wa Usambazaji na Uuzaji BIDHAA katika mtandao wako kama vile ndugu, majirani, familia na rafiki zako n.k. Lengo kuanzishwa mtindo huu wa biashara ni kuua wafanyabiashara wa kati (midle men) ambao husababisha bei kupanda bila sababu.Pia kwa kuondoa hao watu wa kati bidhaa itapatikana kwa bei nafuu.

1. Mfumo wa biashara ya mtandao ni rahisi Sana, hauhitaji ujuzi fulani maalumu au masomo Fulani
mahususi ili kuweza kuifanya hii biashara. Haihitaji matangazo maalumu
kutangaza bidhaa zako, wasambazaji ndio huitangaza kwa kutumia midomo
yao wanaponadi bidhaa lakini pia kutokana na ubora wa bidhaa, walio
nunua huwa mabalozi kwa engine na hivyo kufahamisha na kujulisha zaidi
uwepo wa bidhaa hizo sokoni. Aidha hutolewa vipeperushi, vitabum DVD na
CD na aina zingine za maandishi kuelezea bidhaa, hivyo msambazaji au mtu
yeyote anayekuwa katika biashara hii huokoa kiasi kikubwa cha fedha
ambacho kingetumika kwa ajili ya matangazo mbali mbali mbali.
2. Biashara hii haihitaji eneo fulani maalumu la kufanyia biashara. Mtu anaweza kufanya biashara hata akiwa nyumbani, maadamu tu anaweza kutumia internet, simu au kifaa chichote cha mawasiliano. Ni rahisi sana, kazi yako ni JUZA UZA ,yaani wajulishe wengine uuze bidhaa zako. Huu ndio upekee na urahisi wa biashara ya mtandao ukilinganisha na biashara zingine. Zinawafikia watu wengi kwa muda mfupi. Unaongea kwenye simu na wateja wako na mahitaji yao. Whatsapp, email, Facebook, twitter, YouTube instagram, telegram na aina zingine za mawasiliano , watu wengi hupata taarifa za bidhaa zako kwa muda mfupi lkn wewe ukiwa tu nyumbani na hivyo kuuza bidhaa kabla hata hujaonana na mteja.
3. Biashara mtandao haina mipaka kutokana na njia zake zinazotumika kuuza bidhaa. Mipaka ya mataifa, na kijiografia inaondoshwa katika biashara hii. Haina gharama za kuajiri wafanyakazi wengi ofisini na kukodi fremu za kuuzia. Mtaji wake ni Mdogo sana kuweza kuingia katika hii biashara ukilinganisha na biashara zingine nje ya mfumo huu. Kumbuka unaweza kuifanya na kuisimamia hii biashara hats ukiwa nyumbani kwako.
4. Nirahisi kupata/kutengeneza kipato cha ziada(Getting passive salary).Faida na sifa nyingine ya kipekee ya biashara hii ya mtandao ni kuweza kupata kipato kingine cha ziada mbali na kile upatacho katika uajiriwa wako. Unaendelea kufanya kazi yako ya kila siku na kupata stahiki zako kama kawaida huku ukiwa nako unaingiza kipato kingine bila kuathiri kazi yako. Kumbuka hii biashara hufanyika mahali polite na muda wowote. Wengine hupata kipato kikubwa zaidi ya kile wanachikipata katika mishahara yao ya kawaida. Hilo huwafanya wengine kufikia hatua ya kuacha kazi zao rasmi na kuisimamia biashara yao ya mtandao.
5. Kuendelea kupata kamisheni hata kama utasimama kwa muda kusambaza bidhaa au kutengeneza TIMU. Biashara ya mtandao ni ya kuunganishana, kutengeneza kama mnyororo ambapo anayekuunganisha anapata kamisheni ya point za kuunganisha distributor mwingine, mauzo yake binafsi na mauzo ya watu aliowaunganisha. Kwahiyo the more you join the others the more you get more commission ! Hivyo unaweza ukaumwa usipate kuuza bidhaa zako, lkn wale uliowaunganisha wakiuza kwa upande wao, wewe pia unapata points za kamisheni kutoka katika mauzo yao. Na unapiwaunganisha zaidi na kuuza ndipo cheo chako katika mtandao kinapandishwa na malipo yako kuwa makubwa zaidi.
12. Biashara ya mtandao unaweza kuirithisha kwa watoto wako na wajukuu hadi vitukuu.
Kama umejiunga na biashara ya mtandao ambayo inakua kwa kasi na bidhaa
yake inaenda kwa kasi, unaweza kuirithisha familia yako kipato chako
hadi wajukuu wa wajukuu zako! Lakini biashara ya duka ukifariki wewe
mwanzilishi na duka linakufa mara nyingi!
Hivyo, ikiwa umetambua faida za NETWORK MARKET (biashara ya mtandao) (network marketing business, multilevel marketing, referral business, nk). napenda nikukaribishe katika FURSA KUBWA YA BIASHARA YA MTANDAO ya RIFARO AFRICA..itakayo kulipa kwa kila dakika ya muda wa maongezi unao tumia kilasiku, piautaweza kujitengenezae kipato cha WIKI na MWEZI nakujenga timu (network) kadiri uwezavy..KARIBU SANA
2. Biashara hii haihitaji eneo fulani maalumu la kufanyia biashara. Mtu anaweza kufanya biashara hata akiwa nyumbani, maadamu tu anaweza kutumia internet, simu au kifaa chichote cha mawasiliano. Ni rahisi sana, kazi yako ni JUZA UZA ,yaani wajulishe wengine uuze bidhaa zako. Huu ndio upekee na urahisi wa biashara ya mtandao ukilinganisha na biashara zingine. Zinawafikia watu wengi kwa muda mfupi. Unaongea kwenye simu na wateja wako na mahitaji yao. Whatsapp, email, Facebook, twitter, YouTube instagram, telegram na aina zingine za mawasiliano , watu wengi hupata taarifa za bidhaa zako kwa muda mfupi lkn wewe ukiwa tu nyumbani na hivyo kuuza bidhaa kabla hata hujaonana na mteja.
3. Biashara mtandao haina mipaka kutokana na njia zake zinazotumika kuuza bidhaa. Mipaka ya mataifa, na kijiografia inaondoshwa katika biashara hii. Haina gharama za kuajiri wafanyakazi wengi ofisini na kukodi fremu za kuuzia. Mtaji wake ni Mdogo sana kuweza kuingia katika hii biashara ukilinganisha na biashara zingine nje ya mfumo huu. Kumbuka unaweza kuifanya na kuisimamia hii biashara hats ukiwa nyumbani kwako.
4. Nirahisi kupata/kutengeneza kipato cha ziada(Getting passive salary).Faida na sifa nyingine ya kipekee ya biashara hii ya mtandao ni kuweza kupata kipato kingine cha ziada mbali na kile upatacho katika uajiriwa wako. Unaendelea kufanya kazi yako ya kila siku na kupata stahiki zako kama kawaida huku ukiwa nako unaingiza kipato kingine bila kuathiri kazi yako. Kumbuka hii biashara hufanyika mahali polite na muda wowote. Wengine hupata kipato kikubwa zaidi ya kile wanachikipata katika mishahara yao ya kawaida. Hilo huwafanya wengine kufikia hatua ya kuacha kazi zao rasmi na kuisimamia biashara yao ya mtandao.
5. Kuendelea kupata kamisheni hata kama utasimama kwa muda kusambaza bidhaa au kutengeneza TIMU. Biashara ya mtandao ni ya kuunganishana, kutengeneza kama mnyororo ambapo anayekuunganisha anapata kamisheni ya point za kuunganisha distributor mwingine, mauzo yake binafsi na mauzo ya watu aliowaunganisha. Kwahiyo the more you join the others the more you get more commission ! Hivyo unaweza ukaumwa usipate kuuza bidhaa zako, lkn wale uliowaunganisha wakiuza kwa upande wao, wewe pia unapata points za kamisheni kutoka katika mauzo yao. Na unapiwaunganisha zaidi na kuuza ndipo cheo chako katika mtandao kinapandishwa na malipo yako kuwa makubwa zaidi.
6. Biashara ya mtandao inaweza kumfanya mtu kuwa milionea ndani ya miaka 3 hadi 5 kuliko biashara ya Kawaida ya duka.
7. Biashara ya mtandao inakupa fursa pana kupata marafiki wengi zaidi kutoka pande zote za nchi. Biashara ya kawaida hutengeneza marafiki wa sehemu moja tu. Huwezi kujipatia marafiki kila kona ya dunia au nchi.
8. Biashara ya mtandao humwezesha
mtu kuendelea kupata kipato endelevu hata ikitokea msiba au magonjwa
yawezayo kumfanya mmiliki kulazwa zaidi ya wiki au mwezi. Biashara
ya kawaida ukiugua wiki nzima huwezi kupata kipato tena. Mtiririko wa
fedha hukoma mara moja endapo utaugua na kulazwa kwa muda mrefu!
9. Biashara ya kawaida ya mtu mmoja haiwezi kupanuka mpaka upanue mtaji kwanza. Lakini biashara ya mtandao inaweza kupanuka mpaka kufikisha mamilioni bila kujali kiasi cha mtaji ulioanza nao. Kadri mtandao wako unavyokua kwa kasi ndivyo kipato chako kinaongezeka kwa kasi.
10. Biashara ya mtandao unaweza kuifanyia mahali popote, wakati wowote, usiku au mchana. Huhitaji ukumbi au chumba cha biashara au mlinzi wa duka au gharama kubwa za uendeshaji.
11. Biashara ya mtandao hutoa fursa kubwa ya kupata mafunzo makubwa au madogo na semina mbalimbali za kibiashara lakini biashara ya kawaida haina fursa hizo.
Hivyo, ikiwa umetambua faida za NETWORK MARKET (biashara ya mtandao) (network marketing business, multilevel marketing, referral business, nk). napenda nikukaribishe katika FURSA KUBWA YA BIASHARA YA MTANDAO ya RIFARO AFRICA..itakayo kulipa kwa kila dakika ya muda wa maongezi unao tumia kilasiku, piautaweza kujitengenezae kipato cha WIKI na MWEZI nakujenga timu (network) kadiri uwezavy..KARIBU SANA
Karibuni sana RIFARO AFRICA kwa maelezo zaidi
0753376495
0719064402
0625688223
R347631
0625688223
R347631