RIFARO AFRICA LIMITED
Ni wakala msambazaji/muuzaji wa muda wa hewani (vocha) kupitia simu zetu za mkononi.
Kama vile tununuavyo vocha kwa
Tigopesa :*150*01
M-pesa :*150*00#
Airtel :*150*60#
Zantel :*150*02#
Vivyo hivyo tutanunua muda wa hewani kupitia SELCOM *150*50# ambako ndani ya orodha( menu) ndipo lipo DUKA LA RIFARO
(nitaielezea kwa kina kwenye kipengele cha namna ya kununua vocha kwa duka la Rifaro)
Utofauti wa kwenye menu za mitandao mingine na Rifaro ni kwamba huku unanunua vocha kwa matumizi yako yale yale ya kila siku halafu UNALIPWA.
TAFSIRI NYEPESI:
Rifaro Africa ni kampuni inayowawezesha watumiaji wa simu za mkononi kutumia vocha na kulipwa.
HISTORIA FUPI
Ni kampuni iliyoanza kufanya mchakato wa usajili wa kampuni na vibali vingine stahiki kwa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania toka mwaka 2011.
-Rasmi vikakamilika mwaka 2014
-usajili wa kampuni kutoka BRELA
-Ulipaji wa kodi TRA (kampuni inalipa aina 3 za kodi)
I. Kodi kutokana na mauzo ya starter kits
II. Kodi kutokana na manunuzi ya airtime tunayoyafanya ambayo haya automatic huwa yanalipwa kupitia Selcom.
III. Corporate tax : kodi kulingana na ukubwa/udogo( size ya kampuni)
- kibali cha uendeshaji wa biashara kutoka manispaa ya kinondoni.
-kibali cha muda "temporary licence" kutoka Mamlaka ya mawasiliano Tanzania "TCRA". Ambacho ni 15420 kilichounganishwa na mtandao wa Zantel moja kwa moja.
UBIA
- December 6,2014 Ilianza kufanya kazi na Zantel ambako kuna duka la Rifaro kwenye "menu" ya Ezypesa.
Kampuni ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa 35% ya hisa na 65% ya kampuni ya Etisalat. Kabla ya kununuliwa na Millicom( kampuni mama ya Tigo) .
-August, 2015 ikaanza kufanya kazi na Selcom Tanzania kwa mauzo ya muda wa maongezi wa kampuni za Tigo, Vodacom na Airtel.
MFUMO WA BIASHARA: kampuni inatumia mfumo wa BIASHARA YA MTANDAO (network marketing business).
BIASHARA YA MTANDAO :
- Ni biashara ambayo kampuni inawahusisha wanachama wake kufikisha taarifa kwa watu wengine kuhusu uzuri/ubora wa mfumo na bidhaa zake.
Aliyefikishiwa ujumbe akiupenda mfumo na kujiunga kwa taratibu za hiyo kampuni, uliyefikisha taarifa unalipwa. Lakini pia kila anunuapo bidhaa ya hiyo kampuni bado kampuni itakuwa inakulipa asilimia ya manunuzi yake.
BIDHAA YA RIFARO AFRICA :Ni vocha (Airtime)
MALIPO KWA WANACHAMA( VIPATO)
I. kipato cha week
II. Kipato cha mwezi
KIPATO CHA WIKI:-
Hiki ni kipato kinachotokana na wanachama wapya wanaojiunga katika wiki hiyo husika.
wiki ya Rifaro Africa inaanza jumatatu ya saa 00:01 usiku na kufungwa jumapili 23:00 usiku na malipo yake hufanyika kila jumatano ya wiki inayofuata.
-Wale utakaokuwa umewaunganisha kwa namba yako ya uanachama ndani ya hiyo wiki husika utalipwa 20,000 kwa mmoja.
Hawa tunawaita KIZAZI chako cha KWANZA ( K1)
kwa hiyo kama utaweza kuunganisha 3 means 60000 jumatano.
Kama 10 direct kwako ina maana 200,000 jumatano.
LAKINI, hawa wanao(K1) nao wakiunganisha watu kwako watakuwa ni WAJUKUU (K2), bado kampuni inakupa 8000/= kwa yeyote anayejiunga hapo.
Kama watajiunga 10 maana yake 80,000 jumatano.
RIFARO AFRICA INAKULIPA MPAKA KIZAZI CHAKO CHA 15. Katika mtiririko ufuatao
K1: 20,000
K2: 8,000
K3: 5,000
K4: 5,000
K5: 5,000
K6: 3,000
K7-K15: 2,000 kwa kila mtu anayeingia kwenye hivyo vizazi.
WEEK JUZI
K6: 35 wanachama wapya waliingia.
K7-K10 : waliingia wanachama 197, unaweza pata hesabu hii wiki nililipwa pesa ya kitanzania shilling ngapi? 637,000/= cash.
Sikusajili mtu yeyote direct kwangu, wala hamna mtoto aliyeniletea mjukuu, ni 5000 tano, elfu 3000 na elfu 2000.
KIPATO CHA MWEZI
HAPA NAHITAJI UMAKINI WAKO NDIPO KWENYE KIINI HASWA CHA HII BIASHARA.
Ni kipato kinachotokana na matumizi yako ya vocha unayoyafanya ndani ya huo mwezi husika, na asilimia ya matumizi ya vocha yaliyofanywa na washirika wako wa kibiashara katika huo mwezi husika.
HUKU HATUUZI VOCHA, ila pia kama una kipaji cha kuuza vocha tutakuonesha mfumo mbadala utakaokuingizia kipato cha ziada ndani ya RIFAR AFRICA
Huku tunajenga timu ya WATUMIAJI WA VOCHA, ili ulipwe asilimia chache chache kutoka kwao ndizo zitakazokufanya kuwa millionaire.
MGAWANYIKO WA ASILIMIA ZA MALIPO.
Makampuni ya simu za mkononi yanampatia Rifaro Africa 9% ya faida kwa manunuzi ya wanachama wake.
RIFARO : 2% wanachukua kama faida.
WANACHAMA : 7%.
Hiyo 7% inagawanywa kuanzia kwenye MATUMIZI YAKO hadi kwenye matumizi ya TIMU YAKO kama ifuatavyo.
Wewe : 1%
Kizazi 1(K1) mpaka K5: 0.5% kwa matumizi ya kila vizazi hivyo vitano.
Kizazi cha 6(K6) mpaka K15: 0.25% kwa kila kizazi.
Ukipiga hesabu ya haraka hapo.
Wewe :1%
K1-K5: 0.5% 5= 2.5%
K6-K15: 0.25% 10= 2.5%
JUMLA =6%
ZAWADI ZA UONGOZI :
1% ( nitaizungumzia mbele ya mafunzo) .
HIKI NI KIPATO AMBACHO UNAPOIANZA SAFARI YA KUKITENGENEZA KINAKATISHA TAMAA. LAKINI KADRI TIMU YA WATUMIAJI INAPOKUWA NA CHENYEWE KINAANZA KUKUCHEKEA.
Kipato changu cha kwanza cha mwezi kilikuwa 500/=, eeeh MIA TANO ila kipato changu cha mwezi uliopita ni shilling 77,000.
Hiki kipato (cha mwezi) hulipwa kila tarehe 5 ya mwezi unaofuata.
TUZO ZA UONGOZI
Hizi ni zawadi mbalimbali ambazo mwanachama hupatiwa pale anapotimiza idadi kadhaa ya watu kwenye timu yake kuanzia kizazi cha 1 mpaka 15.
Hizi zawadi zinatokana na ile 1% unayostahili kutoka kwenye ile 7% unayostahili.
1. Watu 15,000 - Zawadi ya Kiwanja (10+ millions)
2. Watu 25,000 - Safari ya Macca kwa waislam. Israeli kwa wakristo( safari takatifu,mume na mke mnaenda pamoja) Kama upo single pia bado utakwenda na mpedwa wako mmoja.
3. Watu 40,000 - Gari la kwanza lenye thamani ya 20+ millions.
4. Watu 70,000 - Gari ya kifahari yenye thamani ya 150+ millions.
5. Watu 120,000 - Nyumba ya kifahari/ kasri lenye thamani ya 500+ millions
*Inawezekana moja kati ya MALENGO yako pia yameangukia katika hizi tuzo. Basi kupitia Rifaro Africa THUBUTU na uitendee haki fursa kwa kuwashirikisha watu nakujenga TIMU na Ndoto zako zitatimia kwani Fursa ndo Kwanza imeanza kushamili hivyo huja chelewa.
MANUNUZI YA VOCHA KUPITIA RIFARO
ZANTEL (Ezypesa)
Kwa wanachama ambao wana line za Zantel wanaweza kununua kupitia menu ya ezypesa.
Piga *150*02# Chagua
3. Nunua muda wa maongezi - Halafu number
5. Rifaro Airtime
SELCOM ATM CARD
Piga *150*50#
Baada ya kuweka namba ya siri, itakuletea menu ifuatayo
1. Salio
2. Statement fupi
3. Nunua muda wa maongezi
4. Lipia bili
5. Tuma pesa
6. Toa pesa
7. Vifaa
Chagua 3 itakuletea menu
1. Binafsi (Selcom)
2. Mwingine (Selcom)
3. Rifaro
Utachagua 3 Rifaro kasha utaendelea
1. Rifaro binafsi
2. Rifaro mwingine
Hizo ndio njia kuu mbili zinazo Tumika kwa sasa
UNAHITAJI NINI KUJISAJIRI KATIKA MFUMO WA RIFARO AFRICA.
Ada ya usajili : 128,500/=
Malipo unafanyia katika ofisi mbalimbali za Rifaro zilizopo nchini. (Wasiliana na mimi kujua ofisi ilio karibu nawewe)
-Utapatiwa bahasha "Starter kit" yenye card ya usajili, Selcom ATM card, kitabu na DVD ya mafunzo.
TAARIFA HIZI UWE NAZO :
-majina kamili
-mwaka wa kuzaliwa
-namba ya kitambulisho
-NAMBA YA UDHAMINI ambayo ni R347631
-namba zako za simu
NJIA ZA KUJIUNGA
1. WEBSITE : www.rifaroafrica.com
-Kabonyeze sehemu walipoandika "JOIN US"
Itakuja fomu utakayojaza taarifa hizo hapo juu na kuituma fomu.
AU TUMIA
2. APPLICATION : ingia Google playstore, tafuta "Rifaro Africa " na uishushe "download " app .
- Bonyeza "Sign up " itakuletea fomu kama ile ya kwenye website na ujaze taarifa zako.
PIA NJIA HIZO MBILI UNAWEZA KUINGILIA KWENYE OFISI YAKO( BACKOFFICE)
www.rifaroafrica.com
Bonyeza "MY ACCOUNT " itakuletea
Username ambayo namba ya simu : Mf. 255719064402 (ni muhim kuanza na 255)
( namba kuu uliyojisajilia Rifaro)
Password : Namba za siri utakazozikuta kwenye card ya usajili ndani ya sterter kit.
( ukishaingia kwenye backoffice unaweza kuibadilisha na kuweka ya kwako)
MAMBO MENGINE YA MSINGI :
utayapata kupitia menu, bonyeza pale pale "my account " itakuletea orodha ya
>Distributors ( timu yako mpaka kizazi cha 15)
> Transaction income (matumizi ya vocha ya vizazi vyako kwa kila mmoja)
>Ongeza namba ( za simu kwenye mfumo wa rifaro, kama awali hukuiweka)
>Change password ( badilisha namba ya siri ya awali uliyoikuta kwenye card ya usajili au kila utakapo)
*NA MENGINE MENGI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi kupitia 0753376495 au 0719064402 au 0625688223
MUHIMU fika ofisini na namba hii ya udhamini R347631 Jina Augustino Kuwoko
Karibu sana